Tanzania Yapata Heshima Nyingine Kimataifa.....Dkt. Kijazi Ashinda Kwa Kishindo Nafasi Ya Umakamu Wa Tatu Wa Rais Wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO)

Na: Monica Mutoni. GenevaKwa mara nyingine Tanzania imeingia katika historia ya kimataifa kwa Mkurugennzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania na mwakilishi wa kudumu Tanzania katika Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) kuibuka mshindi wa nafasi ya umakamu wa tatu wa Rais wa WMO. Dkt. Kijazi anachukua nafasi hiyo kwa kipindi cha miaka minne kuanzia 2019-2022 akiwa mwanamke wa kwanza na mjumbe wa kwanza kutoka nchi zinazoendelea kushika nafasi hiyo. Dkt. Kijazi atakuwa na majukumu makubwa ya kumsaidia Rais kuongoza shirika hilo katika kutekeleza majukumu yenye tija...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Friday, 14 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News