Tanzania yatoa sababu ya kutosaini mkataba wa Afrika kuhusu demokrasia, chaguzi na utawala bora

Tanzania imetaja sababu za kutotia saini mkataba wa Afrika kuhusu demokrasia, chaguzi na utawala bora ikisema ni kutokana na baadhi ya vifungu kukinzana na ibara za Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Dk Damasi Ndumbaro ameliambia Bunge hayo jana wakati akijibu swali bungeni.Katika swali la msingi, Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Neema Mgaya alisema miaka sita iliyopita Tanzania ilishiriki nakupitisha azimio kuhusu masuala ya demokrasia, chaguzi na utawala bora na kutaka kujua hadi sasa Serikali imefikia wapi."Je...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Tuesday, 13 November

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News