TCRA YAPIGILIA MSUMARI SAKATA LA VISIMBUZI

Na MWANDISHI WETU,DAR ES SALAAM Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA), James Kilaba, amesema kulipisha maudhui yanayotazamwa bila kulipia (FTA) ni kwenda kinyume na kanuni na sheria za utangazaji zilizopo. Amesema kufanya hivyo kunawanyima Watanzania wengi wenye vipato vya chini na kati wanaotegemea mfumo huo kupata taarifa za habari na matukio mbalimbali. Hayo aliyasema juzi jijini Dar es Salaam, wakati wa ufunguzi wa semina ya wahariri wa vyombo vya habari kuhusu huduma za utangazaji wa maudhui yanayotazamwa bila kulipia. Alisisitiza kuwa kulipisha maudhui hayo si sahihi. Alisema maelekezo...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News