TCRA Yatowa Elimu kwa Masheha wa Wilaya ya Mjini na Magharibi Unguja.

Mhandisi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Zanzibar Bi. Mtende Hassan akitowa maelezo ya Utumizi Salama wa Mitandao wa Simu kwa Masheha wa Wilaya ya Mjini na Magharibi Unguja, akionesha Kitabu cha Mkataba wa Huduma Kwa Mteja wa TCRA, wakati wa Mafunzo hayo yaliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Magharibi B Unguja Mombasa. Na Hawa Ally. ZANZIBAR MAMLAKA ya mawasiliano TCRA Ofisi ya Zanzibar imetoa mafunzo kwa baadhi ya masheaha wa Mkoa wa Mjini Magharibi kwa lengo la kuwapatia elimu juu ya usajili mpya wa alama za vidole katika maeneo...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Thursday, 11 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News