TCRA Yatowa Elimu ya Matumizi ya Mtandao Kisiwani Pemba.

Mkuu wa Ofisi (TCRA) Zanzibar Esuvatie-Asisa Masinga akimkaribisha mwasilisha mada  Afisa TEHAMA Mwandamizi Mkuu,Kitengo cha Kudhibiti Ubora wa Huduma Abibu Rashid Ntahigiye katika Ukumbi wa Polisi Madungu ghafula hiyo imefanyika Kisiwani Pemba.Afisa TEHAMA Mwandamizi Mkuu,Kitengo cha Kudhibiti Ubora wa Huduma akitoa mafunzo kwa washiriki waliyofika katika Mafunzo huko Ukumbi wa Polisi Mdungu Kisiwani Pemba....

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Yesterday

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News