TCU Yasitisha Udahili wa Wanafunzi Kwa Vyuo 7.....Viwili Vyafungiwa

Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), imesitisha masomo na udahili wa wanafunzi wapya kwa ngazi zote za masomo na katika programu kwenye baadhi ya vyuo vikuu kutokana na kukosa vigezo.Pia imefuta vituo viwili vya vyuo vikuu na kuamuru wanafunzi wanaoendelea na masomo wahamishwe.Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Jumanne Septemba 25, Katibu Mtendaji wa TCU, Profesa Charles Kihampa amevitaja vyuo hivyo kuwa ni pamoja na Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala nchini (KIUT), Chuo cha Teofilo Kisanji (TEKU), Chuo Kikuu kishiriki cha Marian (MARUco) na Chuo...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Tuesday, 25 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News