TEF waitaka Serikali ya Tanzania kutoa maelezo kuhusu Azory Gwanda

Jukwaa la Wahariri (TEF) nchini Tanzania limeitaka Serikali ya Tanzania kutoa maelezo ya kina kuhusu mwandishi wa kujitegemea wa kampuni ya Mwananchi Communication’s Ltd (MCL) mkoani Pwani, Azory Gwanda aliyechukuliwa na watu wasiojulikana Novemba, 2017....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Thursday, 11 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News