TFF Wamjibu Waziri Mwakyembe

Shirikisho la Soka nchini (TFF), limejibu alichohoji Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe utaratibu upi ulitumika wakati wa kumsimamisha kazi alyekuwa Kocha wa Taifa Stars, Emmanuel Amunike na kutaka apatiwe majibu.Mwakyembe pia alihoji mikakati ya TFF ya kuhakikisha soka la Tanzania linakuwa baada ya kumfuta kazi Amunike ama la wajiuzulu kuwapishe wengine katika nafasi zao.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Julai 11, na TFF kupitia kwa Katibu Mkuu wake, Kidao Wilfred imesema itatoa taarifa kamili kuhusiana na makubaliano hayo ya kusitisha mkataba baada ya maamuzi hayo...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News