TFF yamtega Manji

ZAITUNI KIBWANA NA HUSSEIN OMAR SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), wameonekana kama wanawatega wanaotaka kugombea nafasi mbalimbali Yanga, baada ya kuamua kusogeza mbele uchukuaji fomu za uchaguzi wa klabu hiyo. Zoezi la kuchukua fomu lilipaswa kumalizika jana jioni, lakini TFF wamesogeza mbele kwa siku tano zaidi hadi Novemba 19, mwaka huu, jambo linalochukuliwa kama kumpa nafasi nyingine Yusuf Manji kama anataka kugombea ili kurudi kwenye nafasi yake hiyo. Akizungumza na BINGWA, Wakili Ally Mchungahela, alisema wameamua kuongeza muda ili kutoa nafasi kwa wagombea wengine kujitokeza. “Tumeona tuongeze muda kwa wagombea...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Wednesday, 14 November

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News