TFF yawafungia viongozi wa matawi Yanga Sc kujihusisha na soka

Na Lulu Ringo, Dar es salaam Kamati ya maadili ya Shirikisho la Mipira wa Miguu Tanzania imewafungia viongozi wa matawi ya klabu ya Yanga SC, Boaz Ikupilika na Bakili Makele kujihusisha na soka ndani na nje ya Tanzania pamoja na kulipa faini ya shilingi milioni mbili. Akizungumza na waandishi wa habari leo, mwenyekiti wa kamati hiyo, Hamidu Mbwezeleni amesema viongozi hao wamekutwa na hatia mbili za ukiukwaji wa sheria na kuingilia taratibu za shirikisho hilo. “Baada ya kikao kilichofanyika, Kamati imewakuta Bakili na Boaz kuwa na makosa mawili, kosa la...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Tuesday, 13 November

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News