TFS yahofia miti ya mpingo, mninga kutoweka nchini

Mwandishi Wetu Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), umesema kuna tishio la miti bora ya asili ya mpingo, mninga, mkongo na mvule kutoweka nchini ambapo tayari wamechukua hatua mbalimbali kuhakikisha miti hiyo inaendelea kuwepo. Akizungumza leo Jumapili Machi 17, jijini Dar es Salaam, Meneja wa Kituo cha Uzalishaji Mbegu za Miti wa TFS mkoani Morogoro, Dk. Hamza Katety amesema kwa sasa wanapotafuta miti hiyo hata mahali ambako waliamini ipo wanaikosa. “Kuna miti tuliyozoea kuiona katika nchi yetu na sasa imeanza kupotea, miti hiyo maarufu imekuwa adimu kuipata na hata...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 3 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News