Timu JPM washusha nyundo tena

KIKUNDU ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinachomtetea Dk. John Magufuli, mwenyekiti wa chama hicho, kinaendeleza mashambulizi. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea).   Wafuasi hao jijini Dodoma, wanataka Kanal Abdulrahman Kinana na Luteni Kanal Yusuf Makamba ambao ni makatibu wakuu wastaafu wa CCM, washughulikiwe. Wamedai, kitendo cha Kinana na Makamba kuandika barua ya malalamiko kwa ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Tuesday, 23 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News