Timu ya JKU Imetangazwa Bingwa wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kwa Mwaka 2017/2018 Baada ya Kuifunga Timu ya Jamuhuri Kwa Bao 3 -1 Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.

 Mshambuliaji wa Timu ya Jamuhuri akimpita Beki wa Timu ya JKU wakati wa mchezo wao wa kufunga Michuano ya Ligi ya Nane Bora Zanzibar mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar. Timu ya JKU imefanikiwa kilitetea Kombe hilo la Ubingwa wake na kuibuka mshindi wa mabao 3-1 na kutangazwa rasmin kuwa Bingwa kwa Mwaka wa 2017/2018 katika Ligi Kuu ya Zanzibar.Katika mchezo huo umeonesha upizani wa hali ya juu kutokana na wachezaji wa Timu ya Jamuhuri kuonesha kiwango cha juu cha mchezo katika kipindi cha kwanza cha mchezo huo.Timu ya...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News