TIMU ZAONYWA MECHI ZA KIMATAIFA ZA KIRAFIKI

Na THERESIA GASPER,DAR ES SALAAM MKURUGENZI wa Mashindano wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Salum Madadi, amezitaka timu za soka zinazoalika timu za nje kwa michezo ya kirafiki kufuata taratibu. TFF imetoa agizo hilo kutokana na hivi karibuni Simba kuialika AFC Leopards ya Kenya na Biashara United kuwaalika Sony Sugar na kucheza nao mechi za kirafiki nchini. Akizungumza na  waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Madadi alisema kutokana na uwepo wa mialiko isiyofuata utaratibu, wameamua kuziandikia timu hizo na vyama vyote vya soka nchini kuwataka kufuata kanuni. “Tumeandika...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News