TMA: Kimbunga Kenneth kipo kilomita 600 kutoka Pwani ya Tanzania

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mgandamizo wa hali ya hewa umefikia katika hatua ya kimbunga halisi chenye ukubwa wa mwendokasi wa upepo unaozunguka kilomita 160 kwa saa....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Wednesday, 24 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News