Toka Bungeni: Serikali Yasema Kuwa Sekta Binafsi Zinaruhusiwa Kulipa Mshahara Zaidi Ya Kima Cha Chini

Serikali imesema sekta binafsi wanaruhusiwa kuwalipa watumishi wake zaidi ya kiwango cha kima cha chini cha mshahara pale ambapo wanaona kufanya hivyo itaongeza motisha kwa wafanyakazi wao.Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu Wenye Ulemavu, Anthony Mavunde, amesema bungeni jijini Dodoma leo Jumanne Septemba 11, akijibu swali la Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema), aliyeuliza katika kipindi cha na maswali na majibu bungeni endapo serikali haioni haja ya kuboresha mishahara yake na kuzielekeza sekta binafsi kulipa mishahara inayoendana na hali ya maisha.Akijibu hilo...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News