TRA yatangaza neema kwa wananchi

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza fursa ya malipo ya asilimia tatu kwa yeyote atakayetoa taarifa sahihi za kufanikisha kukusanywa kodi iliyokwepa na wafanyabiashara. Anaripoti Moses Mseti, Mwanza … (endelea). Fursa hiyo imetangazwa leo jijini Mwanza jana na Kamishina wa walipa kodi wakubwa wa TRA, Alfred Mregi alipokuwa akizungumza wakati wa mkutano wa kutoa elimu ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Wednesday, 15 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News