Trump Amfuta Kazi Mwanasheria Mkuu wa Marekani Jeff Sessions

Mwanasheria Mkuu wa Marekani Jeff Sessions amejiuzulu wadhifa wake, baada ya kuombwa kufanya hivyo na Rais Donald Trump.Trump ametangaza kuondoka kwa Sessions kupitia ukurasa wake wa Twitter leo Alhamis Oktoba 8, akimtakia kila la kheri.Nafasi yake itashikiliwa kwa muda na aliyekuwa mkuu wake wa utumishi Matthew Whitaker. Whitaker sasa atasimamia uchunguzi wa madai ya Urusi kushirikiana na kampeni za rais Trump mwaka 2016.Nancy Pelosi, anayetarajiwa kuliongoza Baraza la wawakilishi amesema kujiuzulu huko ni jaribio la wazi la Trump, kupunguza makali ya mchunguzi maalumu Robert Mueler anayeongoza uchunguzi huo wa Urusi.Kiongozi...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News