Tshishimbi atoroshwa usiku Simba

WAMESHTUKA buana! Mabosi wa Yanga usiku mnene wamekutana na nyota wao wote kabla ya kuondoka kuifuata Lipuli ya Iringa kama njia ya kuwekana sawa, kisha wakawajaza mamilioni flani ya fedha kisha wakamshika mkono kiungo wa Papy Kabamba Tshishimbi wakimtaarifu, sasa wanaingia rasmi katika mazungumzo ya mkataba mpya klabuni hapo....

read more...

Share |

Published By: Mwana Spoti - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News