Tuhuma za rushwa: Ofisa TRA, Polisi wapandishwa kizimbani

CHARITY Ngwala (28), Ofisa Msaidizi wa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), H 4810 PC Ramadhani Uweza (28) na H 48 86 PC Simon Sugu (26) ambao ni askari polisi wa Kituo cha Polisi cha Osterbay, wamepandishwa kizimbani leo tarehe 10 Juni 2019. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Maofisa hao wamepandishwa kizimbani na Taasisi ya ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News