Tume ya Atomiki yawataka wafanyabiashara kuhakiki mionzi isiyo na madhara

Tume ya Nguvu ya Atomiki Tanzania (TAEC) imewataka wafanyabiashara nchini kuendelea kupima bidhaa zao ili kuhakikisha mionzi yake ni salama na haitaleta madhara. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi mkuu wa Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania Prof. Busagala alopowasilisha mada katika mkutano wake na baadhi ya wafanyabiashara wa jijini Mwanza ambapo amesema kuwa kupima bidhaa zao ni jambo la kufuata sheria. Akizungumza leo, Mei 15, Jijini Mwanza Prof. Busagala amewaeleza wafanyabiashara hao juu ya majukumu ya Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania kisheria, ili kuongeza uelewa na kujadiliana hatua mbalimbali ambazo...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 15 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News