Tume ya Madini yasisitiza uuzaji wa Madini kwenye Masoko

Na Issa Mtuwa “WM” Iringa Mwenyekiti wa Tume ya Madini Prof. Idris Kikula amekemea na kutoa onyo kwa Wachimbaji na wanunuzi wa madini nchini kuacha tabia ya kufanya biashara ya madini nje ya masoko yaliyoteyari na yanayoendelea kuanzishwa mikoa yote hapa nchini. Prof. Kikula amesema hayo Juni 15, 2019 muda mfupi mara baada ya kukagua soko la madini mkoani Iringa ambako hakuridhishwa na takwimu za uuzaji wa madini ya dhahabu katika soko hilo kuwa spidi ni ndogo akitolea mfano wa takwimu zilizotolewa na Mkaguzi wa Madini kituo cha Iringa Severine...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Sunday, 16 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News