TUMIENI MASHABIKI KUJIJENGA KIUCHUMI-MAJALIWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipokea jezi ya Yanga, kutoka kwa Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwiguru Nchemba,katika hafla ya kuchangia klabu ya Yanga, iliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam, Juni 15.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikabidhi mchango wa shilingi milioni 10, kwa Mwenyekiti wa Yanga, Dkt. Msolla katika hafla ya kuchangia klabu ya Yanga, iliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam,Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete, akizungumza na Wanachama na wapenzi wa Yanga katika hafla ya kuchangia klabu ya Yanga, iliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es SalaamRais...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Saturday, 15 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News