Tunaruhusiwa kuanza kuota ndoto ya kwenda Cameroon

ALIANZISHA ndoto Nadir Haroub ‘Cannavaro’ katika hoteli moja pale Maputo Oktoba 2006. Baada ya kutoka suluhu ya bila kufungana na Msumbiji, Cannavaro akawasha moto wa kuongea ovyo kwa wenzake kwamba sare hiyo ilikuwa inamaanisha kuwa Taifa Stars walikuwa wanakwenda Afcon Ghana mwaka 2008....

read more...

Share |

Published By: Mwana Spoti - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News