Tundu Lissu Afutiwa Mshahara Na Posho Zake Bungeni

Mbunge  wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amethibitisha kuwa Uongozi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia kwa Spika wake, Job Ndugai na katibu wa Bunge, Steven Kagaigai umemfutia rasmi mshahara wake na posho za kibunge kwa kile alichoeleza kuwa ofisi ya spika imesema haina taarifa zake kuhusu aliko na anachokifanya.Lissu amesema amesitishiwa mshahara na posho za kibunge tangu Januari 2019 bila kuelezwa sababu zozote za hatua hiyo na kusema anakusudia kuchukua hatua za kisheria kufikisha suala hilo, Mahakama Kuu ya Tanzania kudai haki zake.Mnadhimu huyo Mkuu wa...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News