Tutaendelea Kukopesheka Tanzania Kwa Kuwa Inakopesheka na Mahiri Katika Usimamizi wa Miradi.

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) akiwa na Mkurugenzi wa Masoko ya Kimataifa wa Benki ya Credit Suisse ya Uingereza Bi. Elizabeth Muchemi, baada ya kukutana na kufanya mazungumzo katika Ubalozi wa Tanzania Mjini Washington ambapo Credit Suisse Bank imeahidi kuongeza mikopo kwa Serikali kwa ajili ya ujenzi wa miradi ya kimkakati ya Serikali.Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kushoto) na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Prof. Florens Luoga (kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Masoko ya Kimataifa wa...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Monday, 15 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News