Tyrese ashindwa kesi ya mtoto wake

LOS ANGELES, MAREKANI STAA wa muziki na filamu nchini Marekani, Tyrese Gibson, ameshindwa kesi ya kumtaka mtoto wake wa kike Shayla asicheze mpira. Mkali huyo wa muziki wa RnB, alifikishana mahakamani na mama wa mtoto wake, Norma Gibson ambaye alimruhusu mtoto wake kucheza mpira, lakini Tyrese alisema hayupo tayari kumwona mtoto wake huyo akicheza mpira. Kwa mujibu wa Mahakama mjini Los Angeles, Norma Gibson, ameshinda, hivyo mtoto wao huyo mwenye umri wa miaka 11 anaruhusiwa kucheza mpira. Tyrese mwenye umri wa miaka 38, alikuwa anamtaka mtoto wake kujikita katika...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News