UBA,CRDB kusapoti umeme maporomoko ya Rufiji

MWANDISHI WETU-DAR ES SALAAM BENKI ya UBA Tanzania na Benki ya CRDB, zimefikia makubaliano ya kushiriki kuunga mkono ujenzi wa mradi wa umeme wa Rufiji Hydro electric Power Project (RHPP) kwa kutoa Dola za Kimarekani milioni 737.5 ambazo ni sawa na Sh Trilioni 1.7. Akizungumza katika uzinduzi huo jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi wa benki ya UBA, Usman Isiaka amesema fedha hizo ni dhamana ya benki inayotakiwa na mkandarasi katika mradi huo ambao utagharimu Sh trilioni 6.6. “Kwa mujibu wa masharti ya mkataba huo, umoja huo unahitajika kutoa dhamana...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Monday, 15 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News