Uchafu uliokithiri makazi ya Jangwani

Na TUNU NASSOR, DAR ES SALAAM HOFU ya kuenea magonjwa ya mlipuko ikiwemo Dengue na Kipindupindu imetanda kwa wakazi wa mtaa wa Mtambani A Kata ya Jangwani Manispaa ya Ilala kutokana na kukithiri kwa uchafu katika mazingira ya eneo lao. MTANZANIA JUMAPILI lilifika katika mtaa huo na kubaini kuwapo kwa uchafu uliokithiri ikiwamo maji yaliyotuama ndani na nje ya baadhi ya nyumba zao kwa muda mrefu. Maji hayo ambayo wakazi hao wanasema yametuama kwa takribani miaka minne tangu kilipojengwa kituo cha mwendokasi yalionekana kubadilika rangi kutokana na kuchanganyika na yale...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Saturday, 8 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News