Uchafuzi wa mazingira kuongezeka kwa asilimia 3 duniani -Ripoti

Ripoti mpya ya wanasayansi wa kimataifa iliyotolewa Alhamisi inaeleza kuwa kiwango cha uzalishaji wa gesi ya carbon dioxide kinatarajiwa kuongezeka kwa asilimia 3 duniani mwaka 2018, kutokana na ongezeko la uzalishaji wa mafuta ghafi....

read more...

Share |

Published By: VOA News Swahili - Thursday, 6 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News