Uchaguzi Yanga wapigwa ‘stop’

Kamati ya Uchaguzi ya TFF imesitisha uchaguzi wa Yanga uliokuwa ufanyike Jumapili ya tarehe 13, 2019, hadi itakapopokea oda ya Mahakama. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Ally Mchungahela amesema mchakato wa uchaguzi huo umesitishwa baada ya baadhi ya wanachama kufungua kesi katika mikoa ya Dar es Salaam,  Mbeya na Morogoro....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News