Uchaguzi Yanga wasitishwa

NA HUSSEIN OMAR MWENYEKITI wa Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), , ametangaza kusogeza mbele uchaguzi wa klabu ya Yanga hadi hapo watakapotoa taarifa. Uchaguzi wa Yanga ulipangwa kufanyika kesho ili kujaza nafasi ambazo zipo wazi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TFF, uchaguzi huo umesogezwa mbele na kuongeza kuwa taarifa zaidi zitatolewa Jumatatu. Akizungumza na BINGWA jana, Mchungahela alisema wameamua kuusimamisha kwa sasa kutokana na baadhi ya wanachama kuweka pingamizi mahakamani. “Wakati tupo kwenye kikao tulipata taarifa kuwa kuna baadhi ya wanachama kutoka Dar es...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - 7 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News