UCHOKOZI WA EDO:Nadhani picha ya Komredi Polepole mkutanoni ni ‘photoshop’

Jana nilivaa miwani, nikavua, nikavaa tena. Sikuamini nilichokiona. Nikamwita kijana mdogo mwenye macho yenye afya zaidi anisomee maandishi ya chini ya picha ya komredi Polepole. Ilitoka katika ukurasa wa 3 wa gazeti hili toleo la jana....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Monday, 11 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News