UEFA mbioni kuongeza michuano mingine Ulaya tofauti na Yuropa na Ligi ya Mwabingwa

Chama cha soka barani Ulaya, UEFA kupitia kiongozi wake kimetoa taarifa kwamba kimefikia maamuzi ya kuanzisha michuano mipya ya ligi itakayozihusisha klabu za bara hilo. Michuano hiyo mipya inatajwa kuja na mabadiliko ya kupunguza timu za ligi ya Ulaya (Europa League) kutoka timu 48 zilizopo kwasasa na kufikia timu 32 sawa na michuano ya Klabu bingwa Ulaya (UEFA Champions League). Michuano hiyo itashirikisha timu za klabu na inatajwa kupangwa kuanza msimu wa 2020-2021 uku ikijumuisha klabu 32. Kama michuano hiyo itaanzishwa basi itafanya michuano ya timu za klabu kushirikisha timu...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News