Ufumbuzi wa kidijitali, kichocheo cha maendeleo ya kilimo Tanzania

Mwandishi Wetu Kilimo ni sekta kubwa inayochangia uchumi wa nchi nyingi barani Afrika. Kwa mujibu wa takwimu ya kilimo Afrika ya mwaka 2017 (Africa Agriculture Status Report 2017), sekta hii inachangia zaidi ya asilimia 30 ya pato la bara hilo na kuajiri zaidi ya asilimia 60 ya nguvu kazi. Katika nchi za Afrika, kilimo ni njia ya kuleta maendeleo, kuondoa umasikini, kutengeneza ajira, kupanua biashara na uwekezaji baina ya nchi za Afrika na viwanda na maendeleo ya kiuchumi. Nchini Tanzania, kilimo kinaajiri asilimia 70 ya wananchi na huchangia hadi asilimia...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 14 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News