Uganda kufa au kupona kwa Serengeti Boys Afcon

Baada ya kupokea kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Angola, Kocha mkuu wa timu ya Taifa Uganda chini ya miaka 17, Samuel Kwesi amesema wanataka kushinda mechi yao ijayo dhidi ya Tanzania ili kufufua matumaini yao ya kufuzu kwaFainali za Kombe la Dunia Brazil....

read more...

Share |

Published By: Mwana Spoti - Monday, 15 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News