Uhamiaji yaeleza sababu ya kuwakamata waandishi wa CPJ

Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Idara ya Uhamiaji nchini, imekiri kuwashikilia waandishi wa Kamati Maalumu ya Kuwalinda Wanahabari Duniani (CPJ), kwa kuingia nchini na kufanya shughuli kinyume na kibali cha matembezi walichokuwa nacho. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Idara hiyo, Ally Mtanda, waandishi hao Angela Quintal ambaye ni raia wa Afrika Kusini na Mumo Muthoki, raia wa Kenya walikuwa na kibali cha matembezi (holiday visit) cha miezi mitatu ambacho kinaisha muda wake Januari Mosi, mwaka 2019. “Baada ya mahojiano, walikiri wameingia nchini kwa lengo la kufanya vikao...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News