Ujenzi reli ya kisasa Dar- Morogoro wafikia asilimia 42
Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Reli nchini (TRC), Masanja Kadogosa amesema ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) umefikia asilimia 42 kwa kipande cha Dar es Salaam Morogoro wakati kipande cha Morogoro - Matukupora kikifikia asilimia sita....
Published By: Mwananchi - Monday, 11 February
Toa Maoni yako hapa - Add your comment