Ukuta Stars wamkosha Amunike

NIDHAMU  ya kujilinda iliyoonyesha na timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Misri juzi Alhamisi imemkosha kocha Emmanuel Amunike aliyetamba itaibeba timu hiyo kwenye Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) zitakazofanyika Misri kuanzia Juni 21 hadi Julai 19....

read more...

Share |

Published By: Mwana Spoti - Saturday, 15 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News