Ukweli Ndivyo Ulivyo! Acheni tu kina Ndemla wachekwe na kina Okwi

MAISHA yana changamoto nyingi na ili uweze kumudu eneo lako, lazima juhudi binafsi, maarifa, nidhamu pamoja na elimu ni vitu muhimu unavyohitaji kukubeba. Unaweza ukalazimika kuwa na vyote kwa pamoja ili kuwa bora zaidi na wakati mwingine ukatumia kimojawapo vizuri ili kwenda mbali zaidi. Vitu hivyo tu ndivyo vinavyoweza kukufanya utofautiane na wengine unaoshindana nao iwe kwenye biashara, kazi au maisha ya kawaida. Juhudi binafsi zinampa binadamu husika njia mbadala ya kupambana na uhalisia hata kama itatokea amepishana na elimu. Hilo unaweza kulihamishia hata kwenye soka letu. Hakuna ubishi kuna...

read more...

Share |

Published By: Mwana Spoti - Sunday, 16 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News