Ulipofikia mchakato mzima wa michuano mipya ya UEFA

Uefa kunani tena? Bodi ya wataalamu wa soka wakisaidiana na UEFA wamekubaliana kwa moyo wa dhati kabisa kuongeza mashindano mengine. Hayao mashindano yatakwenda sambamba na Ligi ya Mabingwa pamoja na ligi ndogo ya ulaya maarufu kama Yuropa. Swali ni Je yataendeshwaje? Kwa mfumo upi? Barnabas Gwakisa a.k.a Mr Darajani ambaye ni mmoja wa mashabiki damu dam wa Chelsea wamejiuliza maswali mengi kuhusiana na mashindano hayo. Mashabiki wengi pia wamekua na sintofaham juu ya sakata hilo. Michuano hiyo itaanza lini? Michuano hiyo inatarajiwa kutimua vumbi msimu wa 2021-2022. Je itashirkisa vilabu...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - Wednesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News