UN yaorodhesha mataifa 38 yanayo "aibisha" duniani

Umoja wa Mataifa Jumatano umetaja mataifa 38 "yanayo aibisha" yakiwemo China na Russia kwa kile walichodai kuwa ni ulipizaji kisasi au vitisho dhidi ya wale wanaoshirikiana na umoja huo kwa ajili ya kuchunguza ukiukaji wa haki za binadamu....

read more...

Share |

Published By: VOA News Swahili - Wednesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News