UPDATES: Majeruhi Wengine 6 ajali ya Moto Morogoro Wafariki Dunia Usiku wa Kuamkia Leo....17 Bado wako ICU

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Umma Hospitali ya Taifa Muhimbili, Aminieli Aligaesha  amesema  Majeruhi 6 kati ya 38 wa ajali ya moto ya mkoani Morogoro ambao walikuwa wakitibiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, wamefariki Dunia usiku wa kuamkia  leo hospitalini hapo.   Aminiel amesema Majeruhi waliobaki ni 32 ambapo kati yao  Wagonjwa 17 Wako ICU huku wengine  15 wakiwa Wodi ya Kawaida. Majeruhi 6 kati ya 38 wa ajali ya moto ya mkoani Morogoro ambao walikuwa wakitibiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, wamefariki Dunia leo hospitalini hapo. Mpaka sasa idadi...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - 3 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News