Upelelezi Kesi Ya Amber Rutty Na Mumewe Wakamilika.....Kusomewa maelezo ya awali Machi 7

Upelelezi katika kesi ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile inayomkabili msanii Rutyfiya Aboubakary maarufu Kama Amber Rutty na mume wake Said Mtopali umekamilika na sasa kesi hiyo itaanza kuunguruma Machi 7 kwa washtakiwa hao kusomewa maelezo ya awali.Uamuzi huo umetolewa leo Jumatatu Februari 11, 2019  na Hakimu Mkazi , Augustine Rwezile baada ya upande wa mashtaka kuieleza mahakama hiyo kuwa upelelezi wa shauri hilo umekamilika.Wakili wa Serikali, amedai kuwa kesi ilikuja kwa ajili ya kutajwa na kwamba upelelezi wa shauri hilo umekamilika hivyo wanaomba tarehe nyingine kwa ajili ya kuwasomea...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Monday, 11 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News