Upinzani wamtaka Spika ajiuzulu

Bethsheba Wambura, Dar es Salaam Vyama vinane vya kisiasa nchini vimemtaka Spika wa Bunge, Job Ndugai ajiuzulu kutokana na kauli yake ya kumtaka Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Assad akamuombe msamaha Rais Dk. John Magufuli au ajiuzulu kwani kufanya hivyo ni kushindwa kazi. Vyama hivyo ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), Chama cha United Peoples Democratic Party (UPDP), Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA), Chama cha ACT-Wazalendo, Chama cha Democratic Party ( DP), Chama cha NCCR MAGEUZI, Chama cha National League for Democracy (NLD) na...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Monday, 15 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News