Upinzani wapinga sheria vya Vyama vya Siasa, Mahakama ya Afrika Mashariki

UMOJA wa vyama nane vya upinzani nchini, vimefungua shauri la madai katika Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ), jijini Arusha, kupinga sheria mpya ya vyama vya siasa nchini. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Katika shauri hilo, wadai wanaomba Mahakama kubatilisha vifungu 10 vilivyomo kwenye sheria hiyo. Sheria ya Vyama vya Siasa Na. 1, ilipitishwa na Bunge katika ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Monday, 15 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News