Usafiri wa Pikipiki Maarufu Kwa Jina la Bodaboda Visiwani Zanzibar Mkombozi wa Wananchi Kurahisisha Safari Zao.

Vijana waendesha pikipiki maarufu kwa jina la Daladala wakiwa katika kituo cha gari za abiria kikwajuni wakisubiri wateja wao ili kutowa huduma hiyo, kama walivyokutwa na mpiga picha wetu katika eneo hilo.  Wananchi takribani alilimia 85 kisiwani Zanzibar hutumia usafiri wa Pikipiki maarifu kwa jina la Bodaboda hutowa huduma hiyo kwa wananchi katika safari za hapa na pale kutoka na urahisi wake wa bei huchajia kutokana na umbali wa safari yako.Vijana wengi kisiwani Zanzibar wamejiajiri kupitia kazi hiyo ya kusafirika Wananchi kwa kutumia pikipiki katika maeneo ya vituo vya daladala hukaa...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News