Ushahidi kesi ya Zitto waendelea kutolewa

PATRICIA KIMELEMETA- DAR ES SALAAM SHAHIDI wa nne wa upande wa Jamhuri ambaye ni mpelelezi katika Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Kinondoni, Inspekta Salum Masoud, ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa Zitto Kabwe, alimkabidhi taarifa ya vyombo vya habari (Press-Release) wakati alipokuwa akimhoji. Shahidi huyo alieleza hayo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi, wakati kesi hiyo ilipokuja kwa ajili ya kuendelea na hatua ya ushahidi. Kesi hiyo ya uchochezi namba 37/2018 inayomkabili Zitto ambaye ni Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo,  iliendelea mahakamani hapo jana ambapo...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Saturday, 18 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News