Ushirikina, ulevi watajwa vifo machimbo ya Moramu

Na ELIYA MBONEA -ARUSHA USHIRIKINA na ulevi unaochangia watu kutokuwa makini kwenye mgodi wa Moramu uliouwa watu watatu na kujeruhi wanne, unadaiwa kuwa chanzo cha mauaji yaliyotokea kwa miaka tofauti nyakati za Pasaka. Mwaka 2013 siku ya Jumatatu ya Pasaka machimbo hayo yaliuawa watu 13, na Aprili 23, mwaka huu ajali hiyo imetokea tena ikiwa ni   Jumanne, siku moja baada ya Jumatatu ya Pasaka.  Baadhi ya mashuhuda na wakazi wa eneo hilo waliliambia MTANZANIA jana kwamba zipo sababu mbalimbali zinazoweza kuchangia machimbo hayo kuendelea kuua watu vikiwamo ushirikina na...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Thursday, 25 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News