Utapeli waibuka usajili wa laini za simu

BENJAMIN MASESE-MWANZA MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imesema kuwa imebaini utapeli na ukiukaji  mkubwa unaofanywa na mawakala kutoka kampuni mbalimbali za mawasiliano  nchini wakati wa usajili wa laini za simu kwa alama za vidole (biometric) unaoendelea. Kutokana na hali hiyo, TCRA imefanya operesheni ya kushtukiza katika Jiji la Mwanza na kuwakamata mawakala mitaani ambao  wanadaiwa kuhusika na utapeli kwa kusajili laini zinazojuliokana kwa jila la ‘Take away’  na kuwafikisha katika vituo vya polisi kwa hatua za kisheria. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza jana, Meneja wa TCRA Kanda ya...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Thursday, 11 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News